Saturday, December 26, 2009

kijuso akishangilia bao

Mchezaji wa Simba Mohamed Kijuso akishangilia bao wakati wa michuano ya Tusker

Tuesday, December 22, 2009


Hii ni Milima ya Mji Kasoro Bahari Morogoro. Picha na Anthony Siame

Sunday, December 20, 2009

Mpira wa miguu


Majuto Omary akijianda kupiga mpira wakati wa Tamasha la Zain Tanzania .

Waandishi wakivutana kamba


Baadhi ya waandishi wakivutana kamba katika Tamasha lililoandaliwa na Kampuni ya Zain Tanzania. Picha na Anthony Siame

Zain Tanzania na waandishi


Baadhi ya waandishi na wafanyakazi kutoka katika Makampuni mbalimbli ya habari wakijumuika katika Tamasha lililoandaliwa na Kampuni ya Zain Tanzania. Picha na Anthony Siame

Mr Sugu


Mkali wa Hip Pop na Mkongwe Mr Sugu akijinadi kuhusu uzinduzi wa Albam yake ya kumi utakaofanyika katika Ukumbi wa Diamondjubilee siku ya mkeshe wa Sikukuu ya Krismas. Picha na Anthony Siame

John and Monalisa

John na Monalisa wakiwa katika Sherehe baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Azania Front Dar es Salaam na baadaye katika tafrija iliyofanyika Whitesand Hotel.Picha na Anthony Siame

Maandalizi ya Nyama ya Mbuzi

Mbuzi akiandaliwa tayari kwa kuuzwa katika moja ya vijiji vya Morogoro hivi katibuni. Picha na Anthony Siame

Staili ya kutoa Mbuzi katika gari hiyoooo

Mbuzi akirushwa kutoka kwenye gari walipofikishwa eneo la mnadani Vingunguti Dar es Salaam. Picha na Anthony Siame

Matayarisho ya Mbuzi

Mbuzi akiandaliwa katika moja ya vijiji vya Morogoro sehemu maarufu ya kuchimba dawa kwa wale wanaosafiri na mabasi ya yaendayo Mikoa ya Nyanda za juu. Picha na Anthony Siame

Monday, December 14, 2009

EASY FINANCE YAFADHILI ZFA KUFANIKISHA MAPINDUZI CUP

Naibu Waziri Kiongozi na Waziri wa Habari na Michezo wa SMZ, Juma Shamhuna akimpongeza Mtendaji Mkuu wa Easy Finance, Isaack Kasanga baada ya Taasisi hiyo ya mikopo, kuichangia ZFA Shilingi Milioni 12.5 kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Picha na Anthony Siame